Erich Sauer
Uchunguzi wa Biblia kuhusu Historia ya Wokovu katika Agano la Kale na Agano Jipya. Anayetaka kuona mpango wa Mungu katika historia asome kitabu hiki. Mfululizo wake unafuata mpangilio wa Panorama ya Biblia.
Kurasa 258
"Vitabu vya Erich Sauer vinaonesha kazi ya mtaalamu anayeonekana ameweka kidole chake kwenye kiini cha Injili katika kila ukurasa. Mimi binafsi nimebarikiwa sana navyo, tena ni chemchemi ya daima kwa maandalizi ya hotuba zangu." – Billy Graham
Ufunuo wa Mungu na Itikio la Imani
TZS 6,000.00Price