MAWASILIANO
MAWASILIANO
Mobile: +255 713 609166
Email: contact@klb-publishers.org
MASAA YA KAZI
Jumatatu – Ijumaa:
08:00 – 16:00
Jumamosi na Jumapili:
pamefungwa
ANWANI
Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424, Dodoma
Tanzania
WASILIANA NASI
-
Je, mtapokea kitabu changu na kukitoa?Tunasikitika kwamba kwa sasa hivi hatuna uwezo wa kuhariri kitabu chako. Wasiliana na Tanzania Evangelical Literature Ministry, SLP 1009, Morogoro, Tanzania ili wakusaidie kumpata mhariri au mtoaji wa kitabu chako kwa Kiswahili.
-
Kwa nini mnatoa kwa Kiswahili tu?Tunatoa vitabu vilivyotafsiriwa au kuandikwa kwa Kiswahili tu, kwa sababu tunaona siku hizi wahubiri wengi wanahutubia kwa lugha ya Kiswahili. Matumizi ya Kiswahili yanapanuka sana na tunataka kutoa mchango ili Kiswahili kiweze kukuzwa kwa ufasaha. Kwa sasa tunashindwa kujihusisha na lugha zingine. Wasiliana na huduma ya SIL [https://tanzania.sil.org/sw] na Chama cha Biblia [https://shop.biblesociety-tanzania.org/] ili upate maandiko kwa lugha zingine za kimataifa na lugha za asili za Afrika Mashariki.
-
Je, mnaweza kuchapa kitabu changu?Hapana hatuwezi kuchapa vitabu. Sisi tunachapa baadhi ya vitabu vyetu na Inland Press, SLP 125, Mwanza. Tunaomba uulizie huko.
-
Mnatoa vitabu bure?Tunasikitika kwamba hatuwezi kufadhili vitabu. Vitabu vyetu vimefadhiliwa kiasi kwa hiyo tunauza kwa bei ya wastani. Tunaweza kukuambia njia za kulipa ndani ya Tanzania na kutoka nje pia.
-
Je, tutapata kipunguzo kwa vitabu vyenu?Ndiyo, tunatoa vipunguzo kufuatana na orodha yetu ya bei za vitabu. Agiza orodha ya bei hapo mbele.
MADUKA YA VITABU
Maduka ya Vitabu (Bookshops)
Arusha
Soma Biblia (Arusha Branch)
P.O.Box 2696
Arusha, Tanzania
Mobile: +255 766 615 746
​
Location: Duka linapatikana kwenye Jengo la TFA, Sokoine Road (A104). Duka linatazamana na benki ya CRDB. Pia unaweza kuingia kupitia Esso Rd.
Arusha
KIMAHAMA Literature Center
P.O. Box 14140
Arusha, Tanzania
Mobile: +255 765 141 441
​
Location: Col. Middleton Road.
​
​
​
​​
Dar es Salaam
Soma Biblia
P.O.Box 12772
Dar es Salaam, Tanzania
Mobile: +255 754 292 995
​
Location: Barabara ya Mwai Kibaki, Mikocheni B, upande wa kulia kwenda Sanitas Medical Centre.
​
​
Dodoma
Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424
Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 713 609 166
Email: contact@klb-publishers.org
Location: Dodoma, Ipagala, Eneo la Emmaus Shule ya Biblia, Kwenye mataa ya Dar Road ingia Emmaus Road (Emmaus II), fuata vibao.
Dodoma
Soma Biblia (Dodoma Branch)
P.O.Box 4231
Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 743 661 166
Location: Block K Uhindini Street Dodoma karibu na UBA Bank na Amana Bank.
​
Iringa
Soma Biblia (Iringa Branch)
P.O.Box 1088
Iringa, Tanzania
Phone: +255 765 910 495
Location: Njia panda kati ya A104 na Miomboni street. Duka linatazamana kituo cha mafuta.
​
​
Mbeya
Soma Biblia (Mbeya Branch)
P.O.Box 1062
Mbeya, Tanzania
Mobile: +255 768 444 990
Location: Eneo la Kabwe, Karibu na Full Gospel Church kwenda Block “T”.
Mwanza
Soma Biblia (Mwanza Branch)
P.O.Box 6097
Mwanza, Tanzania
Mobile: +255 755 355 445
Location: Barabara ya Makongoro katikati ya mjini na uwanja wa ndege, katika “Kiliniki ya Zamani”.
Biblia zinapatikana kutoka kwa | Bibles are available from
Dodoma
Bible Society of Tanzania
P.O. Box 175
Dodoma, Tanzania
Phone: 026 2324 661
Mobile: +255 754 267 156 / +255 765 530 892
Location: 16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area
Itifaki ya Biblia inapatikana kutoka kwa | The Swahili Concordance is available from
Dodoma
Central Tanganyika Press
P.O. Box 1129
Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 754 386 168
Location: Chuo Kikuu cha St John, kilometa 3 kutoka mjini kwenye barabara ya Iringa.